Share

Kijana wa Kitanzania aliyebuni mguu wa ndege ‘Ilinibidi niuze laptop yangu’

Share This:

Kijana wa Kitanzania Aitwaye Njako ambaye ni mhitimu wa fani ya Uhandisi, matengenezo ya ndege katika chuo cha Taifa cha usafirishaji amebuni mguu wa ndege kama iliyopo kwenye ndege aina ya Airbus, Boeng na ndege nyingine zinazotumia aina za miguu, Njako anasema changamoto kunwa ilikuwa ni fedha hata kumpelekea yeye kuuza laptop yake ili amalizie ubunifu wake

Leave a Comment