Share

Kikosi Cha Uokoaji Bandarini Ya DSM Chapewa Mafunzo

Share This:

Bandari ya Dar es Salaam leo imefanya mazoezi ya upambanaji wa majanga ya moto ili kukijengea uwezo kikosi cha uokoaji katika bandari hiyo.

Leave a Comment