Share

kilichoamuliwa kwenye bajeti kuu kuhusu pombe na sigara

Share This:

Waziri Mpango amesemaushuru wa bia inayotengenezwa kwa nafaka ya Tanzania hautaongezeka na utaendelea kutozwa kwa Sh. 450 kwa lita bali Ushuru wa BIA zinazoagizwa kutoka nje ya nchi utaongezeka kutoka Sh. 765 kwa lita hadi 803.25 kwa lita.

Leave a Comment