Share

Kilichojadiliwa Bungeni leo kuhusu mtoto Anthony Petro

Share This:

Headline za mtoto Anthony Petro zimeingia Bungeni Dodoma leo April 13, 2018 ambapo Mbunge wa Jimbo la Ngara Alex Gashaza ambalo ndipo anatokea mtoto huyo mwenye kipaji alitumia dakika zake kadhaa kuwashukuru watu waliosaidia baada ya kupata taarifa zake.

Leave a Comment