Share

Kilichosababisha KINGUNGE kurudishwa ICU baada ya mazishi ya Mkewe

Share This:

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu.

Leave a Comment