Share

“Kilichotokea kwangu hata sijui” –Naibu Waziri Dr Mwanjelwa

Share This:

July 12, 2018 Naibu Waziri wa Kilimo Dr Marry Mwanjelwa alikuwa ni miongoni mwa viongozi wa Serikali walioshiriki katika maombezi maalum ya kuuombea mkoa wa Mbeya na ambao umekuwa na mfululizo wa matukio ya ajali za barabarani ambapo katika hotuba yake alitoa ushuhuda aliopitia siku aliyopata ajali.

Leave a Comment