Share

Kilichowafanya Wabunge kushangilia zaidi wakati Bajeti kuu ikisomwa

Share This:

Waziri wa Fedha na Mipango Dr Philip Mpango ametangaza kusamehe kodi ya ongezeko la Thamani kwenye taulo za kike (Sanitary pads) lengo ni kuwezesha upatikanaji wa bidhaa hii muhimu kwa bei nafuu kwa ajili ya kulinda afya ya mama na mtoto wa kike

Leave a Comment