Share

Kilimo cha Miraa aina ya Moghoka

Share This:

Watu wengi hufikiri kwamba lazima mtu aajiriwe ndipo aweze kujikumu kimaisha. Je wewe binafsi, ushawahi kufikiria kuhusu mbinu mbadala ya kujipatia mapato hasa kupitia ukulima? Kutana na kijana Kevin Kaloki mkulima wa miraa kutoka eneo la Mbeere katika kaunti ya Embu nchini Kenya anayeelezea jinsi anavyonufaika kutokana na kilimo hicho. Video imetengenezwa na David Kuria Mwangi. Kurunzi 9.8.2019

Leave a Comment