Share

Kilio cha wafanyabiashara waliobomolewa Pugu

Share This:

Wafanya biashara wadogo katikakata ya Pugu wamtaka rais John Magufuli kuwasaidia kuapta haki baada ya kubomolewa maeneo yao ya biashara usiku wa manane na mtu anayedai kumiliki eneo hilo.

Posted In:

Leave a Comment