Share

Kimetajwa kiwango cha mbegu za maharage kinachohitajika Tanzania

Share This:

Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti Selian umebaini kuwa ili kukabiliana na uhaba wa mbegu za maharage nchini zinahitajika tani 125 za mbegu za maharage kwa wakulima.

Ayo TV imemtafuta Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara ya Mbegu Tanzania Bob Shuma na moja ya mambo aliyozungumzia ni pamoja na hali ya mbegu ya maharage nchini.

Leave a Comment