Share

Kinachoendelea nyumbani kwa Kibonde baada kufiwa na mke wake

Share This:

Nyumbani kwa Ephraim Kibonde, Riverside Ubungo shughuli za msiba wa mke wake, Sara Kibonde zikiwa zinaendelea. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

Leave a Comment