Share

Kinigi inavyofaidika na utalii

Share This:

Tarafa ya Kinigi katika wilaya ya Musanze nchini Rwanda, ndiyo nyumbani kwa sokwe adimu wa milimani. Wakazi wake wanatumia fursa ya sokwe hao ambao ni kivutio kikubwa cha utalii kubadili maisha yao.

Leave a Comment