Share

Kinyozi wa Congo anayetumia sanaa kunyoa mitindo ya kipekee

Share This:

George Dufanda ni kinyozi raia wa Jamhuri ya Kidmoekrasi ya Congo anayeishi Kenya.

Yeye anatumia sanaa kunyoa mitindo ya nywele kwa kutumia mashine ya kaaida ya kunyoa.

Kipaji chake kimevutia wateja kedekede wakiwemo wanasiasa, wasanii na hata wachezaji soka nyota wa kimataifa. Hatahivyo kuna watu wawili ambao anatamani sana angepata fursa ya kuwanyoa. Je ni kina nani?

Leave a Comment