Share

Kiongozi wa Korea Kaskazini azuru China

Share This:

Kuna taarifa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amefanya ziara nchini China. Hiyo itakuwa ziara ya kwanza nje ya nchi ya Kim tangu aingie madarakani mwaka 2011. Papo kwa Papo 27.03.2018

Leave a Comment