Share

Kisa cha mbuzi wanaojichunga wenyewe Dar, mzee anayewamiliki asema ukiiwaiba utawarudisha tu

Share This:

Kama wewe ni mtembezi mzuri wa jiji la Dar es Salaam, bila shaka umewahi kukutana na kundi la mbuzi wanaokatiza barabarani wao wenyewe bila mtu anayewachunga. Mbuzi hawa ni maarufu, huja mjini na kurudi wanakokaa bila kudhurika. Hakuna anayediriki kuwadhuru, gusa uone.

Mwandishi wa BBC, Humphrey Mgonja aliamua kuwafuatilia ili kubaini ukweli wa maisha yao, na aliyoyabaini, yatakuacha mdomo wazi.

Leave a Comment