Share

Kisiwa cha kobe 5dadaf35b93c140001739b62 Oct 21 2019 14 00 18

Share This:

Kisiwa Cha Prison Island maarufu “Kisiwa Cha Kobe” ni miongoni mwa maeneo maalumu kwa utunzaji wa Kobe wakubwa aina ya Aldabra katikati ya bahari ya Hindi, mwendo wa dakika 15 toka Mji Mkongwe kisiwani Unguja ambapo kobe hawa wamekuwa kwenye kisiwa hicho toka mwaka 1919 na sasa wamezaliana kutoka wanne waliokuwepo hadi kufikia 197 mwaka huu. Kurunzi 21.10.2019. Mtayarishaji ni Ahmad Juma.

Leave a Comment