Share

KITALE AFUNGUKA: MTOTO DIAMOND ANAKERA /MJENGO WANGU NI FUNZO KWA WASANII / MAJAY AMESIMAMIA NIJENGE

Share This:

Msanii wa muziki Kitale amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake pamoja na nyumba yake aliyoijenga Kigamboni jijini Dar es saam ambapo amesema sababu ya kuonyesha nyumba yake hiyo ni kutaka kuwaamsha wasanii ambao wanaona wamechelewa.

“Nimeonyesha mjengo wangu ili wale vijana wenzetu ambao tulianza nao na wao wasikate tamaa, nimewaonyesha sanaa ina hela ila tatizo sisi wasanii tukupata pesa tunajiachia sana. Ndio maana huyo mtoto Diamond kila anachokifanya anaweka kwenye mtandao, anatia hasira sana” alisema Kitale.

Leave a Comment