Share

Kitu atakachoanza kukifanya Emmanuel Kimbe akishinda Urais TFF

Share This:

Mwenyekiti wa Mbeya City Emmanuel Kimbe ni miongoni mwa wagombea sita wa nafasi za Urais wa TFF ambapo anaendelea na kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe wa mkutano Mkuu wa TFF ambao ndio watapiga kura ya kumchagua Rais katika uchaguzi Mkuu kesho. Kimbe ambaye ni miongoni mwa viongozi wa Mbeya City ameeleza uzoefu wake na kitu cha kwanza atakachoanza nacho kama akishinda uchaguzi mkuu wa Urais wa Shirkisho la soka Tanzania TFF na kupata dhamana ya kutawala katika kipindi cha miaka minne.

Leave a Comment