Share

Kitu kampuni ya Serengeti imewaletea watanzania

Share This:

Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited ‘SBL’ imeizindua rasmi Bia yake Mpya ya Serengeti Lite ambayo itapatikana nchi nzima kwa Shilingi 1,500 ikiwa imetengenezwa na Mtanzania.

Leave a Comment