Share

Kitu Waziri Mwigulu amewaambia Watanzania kuhusu JPM, makinikia

Share This:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuhakikisha rasilimali za nchi zinalindwa na kuheshimika hasa katika kipindi hiki cha issue ya mchanga wa madini.

Leave a Comment