Share

Kituo cha ITV chanyakuwa tuzo ya ubora ya SUPERBRANDS Afrika Mashariki kwa mwaka 2015-2016.

Share This:

Kituo cha televisheni cha ITV kimeibuka tena kidedea mwaka huu na kujinyakulia tuzo ya ubora ya supebrand afrika mashariki kwa mwaka 2015-2016 kikiwa ni kituo pekee cha televisheni katika kundi la makampuni kumi bora katika tuzo hizo.

Leave a Comment