Share

Kocha Mayanga na Himid Mao baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Rwanda

Share This:

Jumamosi ya July 15 2017 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza game yake ya kwanza ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya CHAN 2018 dhidi ya timu ya taifa ya Rwanda katika uwanja wa CCM Kirumba, Taifa Stars iliambulia sare ya 1-1- dhidi ya Rwanda goli lao likifungwa na Himid Mao kwa penati na Rwanda lilifungwa na Dominique.

Leave a Comment