Share

Kofi Annan Amezikwa

Share This:

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa marehemu Kofi Annan, amezikwa nchini mwake Ghana. Viongozi mbalimbali duniani wamehudhuria mazishi ya kiongozi huyo anayeheshimiwa ulimwenguni.

Leave a Comment