Share

Kongamano La Kitaifa La Jumuiya Ya Kadriathan

Share This:

Makamu wa rais mstaafu Dr Gharib Bilali ameipongeza jumuiya ya kiislamu ya Kadriathan kwa kuunga mkono juhudi za serikali za kujenga uchumi wa viwanda kwa kuanzisha chuo cha ufundi.

Leave a Comment