Share

Kubenea amfuata Bashe, Aja na hoja binafsi ya mabadiliko ya katiba

Share This:

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea Jumapili hii afunguka kuizungumzia hoja binafsi aliyoiwasilisha bungeni. Saed Kubenea amesema amewasilisha hoja binafsi ili kuomba mabadiliko ya katiba kwa lengo la kupata tume huru ya uchaguzi nchini.

Leave a Comment