Share

KUBENEA KUHUSU SAUTI YA KINANA, NAPE NA MAKAMBA “TCRA WAMTAJE ALIYEHUSIKA”

Share This:

Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amefunguka kuhusu sakata la kusambaa kwa sauti kupitia mitandao ya kijamii zikidaiwa ni za viongozi mbalimbali wa kisiasa akiwemo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe.

Leave a Comment