Share

KUBWA KULIKO YA SIMBA KWA YANGA KIGOMA, WAANDAA CHAKULA CHA PAMOJA

Share This:

Mashabiki wa SIMBA kwenye maeneo ya Kibirizi Kigoma Ujiji June 15 2019 wameandaa chakula cha pamoja na Mashabiki wa Yanga kusherehekea Ubingwa wa mara ya pili mfululizo kwa ligi kuu ambapo kama kawaida vijembe na utani vilikuwa sehemu ya furaha yao.

Leave a Comment