Share

Kuelekea mkutano wa korosho wa ACA Dar: Korosho zote zitauzwa kabla msimu mpya haujaanza

Share This:

Hayo yamesema na Mr Francis Alfred wa Bodi ya Korosho katika mkutano na waandishi wa habari Serena jijini Dar es salaam wakati wakitangaza Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 13 wa korosho na maonyesho kuanzia 7-8 November mwaka 2019 katika Ukumbi wa JNICC Dar es salaam.

Leave a Comment