Share

KUHUSU ‘VIBENTEN’ Huu ndio utofauti wa Bongo na Burundi

Share This:

Leo September 14,2018 tunayo story kutokea kwa Msanii wa Kike nchini Burundi, NATACHA ambapo amezungumzia utofauti wa mahusiano ya wasanii wa Tanzania na Burundi, ambapo pia amesema kufanya kazi ya Usanii huku ukiwa umeolewa ni ngumu.

Leave a Comment