Share

Kukosa uraia kwa sababu ya utawala wa kikoloni

Share This:

Gerson Liebl amepitia madhila mengi katika maisha yake ikiwemo kugoma kula, kukamatwa na kurejeshwa nchini mwake, ikiwa ni katika kuhakikisha anaitetea haki yake ya kupata uraia wa Ujerumani. Kwa miaka kadhaa amekusanya ushahidi kamili wa kuthibitisha madai yake. Kurunzi 28.11.2019

Leave a Comment