Share

Kuna faida gani kwa mwanaume kuwa na uume mkubwa?

Share This:

Kutana na wanaume wanaotumia dawa na vimiminika kuongeza uume uwe mkubwa ili kujiamini.Wanaume wawili waliiambia BBC, kwa nini hawaoni aibu kutumia njia hiyo licha ya tahadhari ambazo zimekuwa zikitolewa kuhusu madhara ambayo yanaweza kujitokeza mtu anapotumia dawa hizo.

Leave a Comment