Share

Kundi La Wanne Star

Share This:

Kundi la muziki la asili la wanne star liliburudisha katika Tamasha la Urithi lililofunguliwa hivi karibuni mjini Dar es Salaam. Bado kundi hilo linavutia na linafanya vizuri katika kuutangaza utamaduni wa Tanzania.

Leave a Comment