Share

Kupeleka fasheni ya Afrika Kimataifa

Share This:

Mwanamitindo huyu kutoka Rwanda ana ari ya kuitangaza mitindo ya mavazi ya kiafrika katika maonyesho ya kimataifa. Joselyne Umutoniwase kutoka Rwanda tayari ameshaalikwa kwenye maonyesho ya kifahari ya mitindo mjini Milan. Je ubunifu wake ni tofauti vipi na wa wengine? Fahamu mengi kwenye makala #VijanaMubashara #77Asilimia

Leave a Comment