Share

Kurunzi

Share This:

Mambo Mapya 👉DW, imeanza kuwaandalia aina mpya ya vidio ambazo tumezipa jina la KURUNZI. Hizi tutakuwa tukizichapisha katika kurasa zetu zote za kijamii. Kutakuwa na video kuhusu taarifa muhimu ya siku itakayoandaliwa kwa ajili ya wafuatiliaji wetu vijana. Kwa hiyo msikilizaji jiandae ufuatilie video zetu za KURUNZI ujielimishe, uburudike na ujifunze mengi.#kurunzi

Leave a Comment