Share

Kutanana na Ngamia wanaookoa maisha

Share This:

Kwa kawaida Ngamia hufanya kazi ya kubeba mizigo au binadamu katika safari zao za kawaida maeneo ya jangwani. Lakini ngamia hawa wamekuwa wakitumika kama Ambilansi nchini Kenya.

Leave a Comment