Share

Kutoka makao makuu ya Yanga baada ya Simba kupewa point 3

Share This:

Siku moja baada ya kamati ya saa 72 kupitia mwenyekiti wake Hamadi Yahaya kutangaza kuwa Simba imeshinda malalamiko yake kwa Kagera Sugar kumchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano, leo Yanga wamefanya mkutano na waandishi wa habari.

Leave a Comment