Share

KUTOKA TANGA:Maandalizi ya 40 ya marehemu Mzee Majuto

Share This:

Ayo TV imeweka kambi usiku huu mkoani Tanga ambapo kesho Septemba 15, 2018 ni siku ya 40 ya marehemu Majuto ambapo atasomewa dua pamoja na mengineyo nyumbani kwake Donge.

Leave a Comment