Share

Kutumia masumbwi kujisahaulisha masaibu ya utotoni DRC

Share This:

Nchini DRC, bingwa wa zamani wa masumbwi Balezi Bagunda ambaye pia alitumikishwa kijeshi utotoni, ameanzisha klabu ya kuwafundisha mchezo wa masumbwi Watoto wa mitaani pamoja na watu waliotumikishwa kijeshi utotoni. Anatumai kupitia njia hiyo anawajengea mustakabali bora. #VijanaMubashara #77Asilimia #masumbwi #DRC

Leave a Comment