Share

Kuwasili Kwa Watalii 65 Kwa Njia Ya Reli Kwazidi Kuitangaza Tanzania

Share This:

Kuwasili kwa watalii 65 kwa treni hapa nchini kumezidi kuiweka Tanzania katika nafasi nzuri ya kutangaza sekta ya utalii kwa njia ya reli.

Leave a Comment