Share

“Kwa miradi yote inayotekelezwa hapa nchini, ni lazima itumie mabomba yanayotengenezwa nchini”JPM

Share This:

#ITVHABARI
#ITVTANZANIA
RAIS DAKTA JOHN MAGUFULI AMEWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI WAKIWEMO WAKURUGENZI NA MAKATIBU WAKUU KUHAKIKISHA MIRADI YOTE INAYOTEKELEZWA TANZANIA KWA FEDHA ZA SERIKALI INATUMIA BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA NCHINI IKIWEMO MABOMBA YA MAJI ILI KULINDA VIWANDA VYA NDANI AMBAVYO VINATOA AJIRA NA KULIPA KODI .

Leave a Comment