Share

Kwa nini fuvu la Mkwawa limehifadhiwa hadi sasa

Share This:

Aliyamaliza maisha yake akiwa na miaka 43 tu lakini akitambuliwa kuwa shujaa mkubwa aliyesimama na kupambana dhidi ya watawala wa kigeni. Huyu ndiye Mtwa Mkwava Mkwavinyika Ndevivalagosi Simkali Seligamba, ama Chifu Mkwawa.

Leave a Comment