Share

‘Kwani serikali mnamatatizo gani?’ –Mbunge Susan

Share This:

Mbunge wa Mlimba Susan Kiwanga alikuwa mmoja wa wabunge waliosimama Bungeni leo April 19, 2017 ili kuchangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI na ile ya Ofisi ya Rais na utawala bora ambapo kati ya vitu alivyozungumzia ni hatua ya serikali kushindwa kushughulikia baadhi ya mambo yaliyo ndani ya uwezo.

Leave a Comment