Share

‘Kwanini Zanzibar wamekuwa kati ya viwanja bora vya ndege, nyie hakuna’-Waziri Mbarawa

Share This:

,Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa leo April 16 2018amezindua baraza la wafanyakazi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege na akapata nafasi ya kuzungumza wajumbe wa baraza hilo

Leave a Comment