Share

Kwimba Yajipanga Kuinua Uzalishaji Wa Pamba

Share This:

Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imejiwekea malengo ya kuongeza uzalishaji wa zao la pamba ili kuongeza upatikanaji wa malighafi pamoja na kuinua kipato kwa wakulima wa zao hilo.

Leave a Comment