Share

Lango la Kihistoria nchini Ujerumani, Brandenburg

Share This:

Lango la Brandenburg lililoko mjini Berlin lina ishara na historia tele kwa Wajerumani na Wanahistoria. Si ajabu lango hilo limekuwa kivutio kikubwa kwa wageni wanaozuru mji huo. Kwenye vidio ifuatayo, John Juma anakusimulia kwa kiduchu tu kuhusu lango hilo. #Kurunzi 14.03.2019

Leave a Comment