Share

Liberia na matatizo ya kiuchumi

Share This:

Liberia inakabiliwa na matatizo ya kiuchumi kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi wa duru ya pili. Biashara zinashuka kwa sababu watu wanaogopa hali ya sintofahamu ya kisiasa.

Leave a Comment