Share

Lissu afika mahakamani

Share This:

Aliekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ameiomba mahakama kuu ya Tanzania kutoa amri ya kusitisha zoezi la kuapishwa kwa mbunge mteule wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ambae alichaguliwa takriban mwezi mmoja uliopita

Leave a Comment