Share

Lissu alivyoingia kwenye mkutano wa wanasheria wakati mke wake akichangia hoja

Share This:

Leo March 17 2017 mbunge wa Singida mashariki ambaye pia ni mgombea urais wa cha cha wanasheria Tanganyika ‘TLS’, Tundu Lissu alifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ambayo yote alikana na baadaye kuachiwa kwa dhamana.

Baada ya dhamana mbunge huyo amesafiri na kuelekea Arusha kuwahi mkutano wa wanasheria unaofanyika katika ukumbi wa kimatifa wa AICC Arusha ambapo alipoingia ukumbini ameshangilia na kingine cha kufurahisha mke wakati anaingia mke wake Alicia Lissu alikuwa anachangia hoja iliyokuwa mezani ghafla. Mke wa Tundu Lissu ni Wakili wa kujitegemea.

Leave a Comment