Share

LIVE: MCHUNGAJI AKIJITETEA POLISI BAADA YA KUDAKWA NA DAWA ZA KULEVYA

Share This:

Jeshi la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kuilevya kinawashikilia watu watatu wakiwemo raia wawili wa Nigeria akiwemo aliyejitambulisha kama Mchungaji na raia wa Lativia, Martins Plavin (20) kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya Dawa za Kulevya.

Leave a Comment