Share

Lowassa alivyotumia dakika 30 kuingia na kutoka makao makuu ya polisi

Share This:

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa leo ameripoti mara ya tatu makao makuu ya jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano, akituhumiwa kutoa maneno ya uchochezi wakati wa futari mwezi uliopita.

Leave a Comment